Jaji Mwanamke anaesikiliza kesi hiyo kwa ukaribu na umakini mkubwa kutoka kwa mawakili wa pande zote mbili jana aliiambia mahakama kuwa Oscar amepatikana na kosa la kuuwa bila ya kukusudia hivyo anatakiwa hukumu ambayo itasomwa mwezi wa kumi tarehe za mwanzoni.
OSCAR AKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUAMBIWA AMEUWA BILA KUKUSUDIAOSCAR NA MAREHEM MPENZI WAKE


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni