Jumamosi, 30 Agosti 2014
MANJI AMKOMALIA OKWI,KULIPA FINE YA DOLLA 500,000/=
Yule mkali wa soka toka nchini Uganda Emmanuel Okwi ambaye hivi karibuni amerejea kuchezea club yake ya zamani Simba ,huku akiwa na mkataba wa miaka miwili aliyo saini na club ya yanga .
Okwi alifikia maamuzi hayo ya kujiunga na Msimbazi mara baada ya mgoogoro na timu yake hiyo ya Jangwani na kuwa katika hali ya sintofahamu.
Mwenyekiti wa sasa wa wana wa Jangwani Manji amesema hatokubali Okwi kuchezea simba hata kidogo la sivyo atahitajika kulipa faini ya dolla 500,000/=.

LADY JAYDEE KAWA SUGER MUMY,ATOKA NA DOGO DOGO CHEKI HAPA...
Msanii nguli wa kizazi kimpya Judith wambura ,Jay dee ameonekana kuwa na dogodogo mitaani baada ya ndoa yake kuwa na migogoro.
Binti komando ambaye ni mke halali wa mtangazaji Gardiner Habash anasemekana yuko na huyo dogo kitambo sana hata kabla ya Habash.
Dogo huyo alipo ulizwa kuhusu uhusiano wake na mwanamziki huyo alisema kuwa yeye ni rafiki mkubwa na shabiki pia wa mwanadada huyo na hakuna kingine cha zaidi.
kuhusu kupiga picha na gari la Jide amesema ni kawaida tu ,shabiki na rafiki yeyote anaweza fanya hivyo na sisi yeye pekee.

MISS MWANZA N0.2 AFARIKI DUNIA AJALINI.
Kwa mujibu wa watu wa karibu na mrembo huyo aliyefahamika kama Mbebez alikuwa kwenye matayarisho ya ndoa yake na mchumba wake wa siku nyingi,ila juzi alimuaga mchumba wake huyo aliyekuwa akiandaa harusi hiyo kwa mbwembwe kuwa anakwenda kwa dada yake na hivyo angerudi siku inayo fuata kwakuwa atalala kwa dada yake huyo.
Mungu si Athuman Mbebez alikutwa na umauti akiwa na mchepuko ambaye pia nae ni marehem.
Marehem Mbebezi enzi ya uhai wake.
picha za gari alilopata nalo ajali Mbebez
Mchumba wa mrembo huyo ahaha asijue la kufanya na wala kuamini kilicho tokea.
DIAMOND ASIKITISWA NA MAJUNGU KUTOKA KWA WASANII WENZAKE.
Mkali wa ngololo na mdogomdogo Nasib a.k.a Platinum amesema anasikitishwa sana na maneno ya kila siku ya kumkejeli kuwa ana sauti mbaya ,hawezi kuimba,huwa tusi kwenye post zake na mengine mengi.
Mkali huyo wa music wa kizazi kimpya mwenye mafanikio makubwa na mashabiki wengi ndani na nje ya inchi.
Amesema ni bora wasanii wenzake wakae chini na kuachana na majungu badala yake wafanye kazi zitakazo liletea Taifa letu manufaa na kuzidi kujulikana duniani kote.
DIAMOND AMEYASEMA HAYO KUPITIA ACCOUNT YAKE YA FACEBOOK.
Mkali huyo wa music wa kizazi kimpya mwenye mafanikio makubwa na mashabiki wengi ndani na nje ya inchi.
DIAMOND AMEYASEMA HAYO KUPITIA ACCOUNT YAKE YA FACEBOOK.
UMESHAIONA VIDEO MPYA YA NICK MINAJ ..ANAKONDA
Mwanadada pekee wa kundi la music linalotesa nchini Marekani la Cash Money Nick Minaj amesha toa video yake ya Anakonda .
Video hiyo ambayo haifai kuangaliwa na watoto hasa wenye chini ya umri mdogo kutokana na mazingiria yake kuwa na utupu mwingi na mauno makali ya dada huyo mwenye makalio makubwa.
Video hiyo ambayo haifai kuangaliwa na watoto hasa wenye chini ya umri mdogo kutokana na mazingiria yake kuwa na utupu mwingi na mauno makali ya dada huyo mwenye makalio makubwa.
Ijumaa, 29 Agosti 2014
AJALI MBAYA YATOKEA MBEYA ,YAUA WATU KUMI NA KUJERUHI SABA..
Watu kumi wafariki dunia na wengine saba wako katika majeruhi makali kwenye ajali iliyo husisha mgali mawili Hiace na Fuso yaliyo gongana Mbalizi huko mkoani Mbeya.
Ajali hiyo imetokea baada ya dereva wa Toyota Hiace lenye namba za usajili T 237 BFB akiwa akishuka mlima mkali wa Mbalizi kukutana na Fuso lenye namba T 158 CSV lililokuwa likikata kona bila ya kuchukua tahadhari.
Katika ajali hiyo iliyo ua watu kumi ikiwemo watoto wawili,wanaume wanne na wanawake wanne.
ANGALIA PICHA MBALI MBALI ZA AJALI HIYO.
HILI NDILO DALADALA AINA YA TOYOTA HIACE LILILOKUWA LIMEBEBA ABILIA
HILI NDILO FUSO LILILO HUSIKA KWENYE AJALI HIYO.
WAUGUZI WAKIJARIBU KUWASAIDIA MAJERUHI NA PIA KUWAFANYIA TRANSFER HADI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOANI MBEYA.
XABI ALONSO ATUA BAYERN MUNICH....
Mchezaji huyo aliyewahi kuichezea klabu ya soka ya liverpool ameingia mkataba wa miaka miwili na miamba hiyo ya Ujerumani akitokea Real Madrid.Alonso ameitumikia Real Madrid kwa miaka mitano tangu alipojiunga na klabu hiyo mwaka 2009 akitokea Liverpool Fc.haijajulikana kiungo huyo ameondoka Real Madrid kwa sababu zipi licha ya awali kusaini mkataba wa miaka miwili na miamba hao wa Bernabeu hapo january..Kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola amemsifia kiungo huyo akisema ni mchezaji mwenye kutumia akili nyingi awapo uwanjani na ataongeza uzoefu katika kikosi chake.
MBASHA AMJIA JUU MKEWE.
Mume wa msanii maarufu wa njyimbo za injili Flora Mbasha amuhoji mkewe utajiri alio nao kwa sasa wa haraka kiasi hicho.
Tuhuma hizo zilipelekwa moja kwa moja kwa Mchungaji Ngwajima ambae ilitapakaa kwamba anatembea na Flora.
Mbasha anasema mkewe huyo alipata kama mil.9 za kitanzania bila kufaham alipo zitoa.
Flora na Mumewe wakiwa katika pozi hivi karibuni.

KAMA ULIKUWA HUJUI ZITTO NA DIVA NI WAPENZI POLE...FUATILIA HAPA
Zitto akana tuhuma hizo na Diva wa raha za roho asema ni kweli aonyesha hadi sms alizo kuwa akitumiwa na Zitto akimtaka wakutane kimapenzi.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)