Gari hilo lililokuwa likitokea Arusha kuelekea kanda ya juu kusini limenusurika kugongana uso kwa uso na roli la mizigo maeneo ya Kingatiti ,ila kwa bahati nzuri hakuna aliye poteza maisha zaidi ya majeruhi.
Gari la abiria la kampuni ya Hood likiwa limepata ajali na kuharibika vibaya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni