Huu ndio muonekano wa virus viambukizavyo EbolaWananchi waishio barani Africa hasa wale wa Magharibi bado wapo kwenye sintofaham kutokana na ugonjwa wa Ebola kuendelea kuua ndugu,jamaa na rafiki zao ingawaje jitihada nyingi zimewekwa kuhakikisha gonjwa hilo hatari lina komeshwa na kutokomezwa kabisa.
Mgonjwa wa Ebola
Ndugu wakiaga maiti na kuziombea.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni