Ijumaa, 29 Agosti 2014

MGANGA AJITAFUNIA MREMBO KIULAINIII,AMUHAIDI KUMPATIA MTOTO.

Mwanadada mmoja aliye fahamika kwa jina la Mwanahamisi Omari umiri miaka 26,ambaye alikiri kuliwa uroda na mganga Yahaya Michael (34) kwa kuhaidiwa kupewa dawa ya kupata mtoto.

Mwanadada huyo aliyekuwa akielezea makasa mzima huo uliyo mkuta mbele ya hakim wa mahakama ya Ilala ,amesema alifikia uamuzi huo wa kwenda kwa mganga baada ya kukaa kwenye ndoa yake mdamrefu bila mafanikio ya kuwa na mtoto.
Pia ameongezea na kusema kuwa mganga huyo alimpigia simu mumewe na kumwambia aje na gari lao aina ya rava 4 kwakuwa mkewe alikuwa na majini na majini yana hitaji gari ili apate mtoto.


Mganga Yahaya anashtakiwa kwa kosa la kujipatia mali kwa kosa la udanganyifu na kupotosha watu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni