Wakali na warembo wa swahilihood a.k.a bongo movie Wema Sepetu na aliye kuwa kipenzi chake kabla ya kuchukuliana mabwana na kugombana Kajala Masanja huenda wakapatana.
Watu wa karibu wa marafiki hao wamesema kwa sasa kila mmoja amemiss mwenzake na kinyongo hakuna tena.yake
Kajala ambaye kwa sasa amefungua kampuni ijulikanayo kama Kajala entertainment amesema hana tena kinyongo na Mrs Diamond .
Juu ni Wema Isak Sepetu na chini ni kajala wakiwa katika pozi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni