Alhamisi, 4 Septemba 2014

MAJAMBAZI YAUWAWA KINYAMA HUKO KIGOMA...PICHA NI MBAYA SAMAHANI KWA HILO.









Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa jeshi la polisi majambazi hayo yalikuwa yakikusudia kuteka magali huko Kasulu mkoani Kigoma.
Taarifa zaidi zinasema majambazi hayo yaliyo kuwa na siraha kali za kivita kama vile SMG na mabomu na risasi 64 yanasadikiwa kutoka nchi jirani .
Hata hivyo jaribio lao hilo halikuweza baada ya jeshi la polisi kupata taarifa kuwepo kwa majambazi hayo na kuweka mtengo amabao ulio fanikisha kuwaua majambazi yote matano.
Kamanda wa jeshi hilo Ibrahim amesema tukio hilo lilitokea jumatano ya tarehe 03 september katika poro la Malagarasi Kasulu-kibondo na kuongezea kuwa walikuwa na juiceaina ya zaam zam orange,mabomu matatu,Ak 47,na makasha matatu ya risasi yenye jumla ya risasi 64.
Majina ya majambazi hayo hayajapatikana bado na uchunguzi unaendelea pamoja na doria ili kukomesha vitendo vya uhalifu mkoani hapo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni