Ijumaa, 5 Septemba 2014

FRANK LAMPARD AKUKUMBUKA CHELSAE,ASEMA NDIO TIMU ANAYO IPENDA.


Mchezaji machachali wa zamani wa Chelsea Lampard amedai kuwa anaipenda sana timu yake hiyo ya zamani na anajutia uwamuzi wake wa kuondoka hapo.
Lampard ambaye kwa sasa anakipiga Man city amesema angejua kama Drogba anashuka hapo asinge toka.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni