Ijumaa, 5 Septemba 2014

MADRID ITAJUTIA UHAMUZI WAKE.

Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania itajutia uwamuzi wake iliyo chukuwa wa kuondoa nyota wake kadhaa ndani ya klabu hiyo na kuwauza,wakali hao waliondoka ni kama Ozil aliye chukuliwa na Arseno tangu msimu ulio pita na Di maria ambaye ameenda Man U msimu huu na wao kumchukua Chicharito.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni