Ijumaa, 5 Septemba 2014

RAIS WA KENYA UHURU NDANI YA VAZI LA KIJESHI.


Rais huyo wa Kenya ambaye anamashtaka ya kujibu ya kufadhili ghasi za mwaka 2007 baada ya uchaguzi katika mahama ya kimataifa ya ICC ,ambayo imehairisha kesi hiyo kwa muda usiyo julikana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni