Alhamisi, 11 Septemba 2014

MAKAMBA NA MAPAMBANO DHIDI YA FISTULA..

Mh.Jannuary Y.Makamba Mbunge wa Bumbuli mkoani Tanga na pia ni Naibu Waziri wa siansi na technologia nchini Tanzania, ameteuliwa kuwa balozi wa kupambana na Fistula Tanzania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni