Jumanne, 16 Septemba 2014

ALLY KESSI ALIMANUSURA APATE KICHAPO BUNGENI..

Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mh.Ally Kessi (CCM),ilikuwa bado kidogo apatiwe kichao kikali pale alipo sema serikali ya Zanzibar inatumia pesa za Tanzania Bara kuendeshea shughuli zake ikiwemo hata kulipa mishahara watumishi wake.
Maneno hayo yalikuwa sumu kali kwa upande wa wabunge wa bunge maalu kutoka Zanzibar ambao walikuwa na jazba kali iliyopeleka mwenyekiti kuungilia kati Samweli Sitta kuingilia kati na mbunge huyo Ally Kess kutolewa nje kwa usalama wake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni