Jumatatu, 15 Septemba 2014

IRAQ YAUNGANA NA UFARANSA LEO....LENGO KUTOKOMEZA KUNDI LA KIGAIDI LA KIISLAM.

Waziri wa mambo ya kigeni nchini Ufaransa Bw.John Kerry leo atakutana na uongozi wa nchi ya Iraq mjini Paris ili kuzungu mzia juu ya kikundi cha wanamgambo wa kiislam(ISIS) ambao wamekuwa tishio kwa inchi za Ulaya.

  JOHN KERRY AKIWA NA VIONGOZI WA KIARABU.

Waziri huyo wa Ufaransa ambaye amekuwa akifanya kazi kubwa ya kuhakikisha kikundi hicho kinaangamizwa amesha kutana na viongozi wa nchi mbali mbali za Kiarabu kwa lengo la kuunganisha nguvu za pamoja ili kufanikisha hadhima hiyo.
Kerry anasema ameunganisha zaidi ya nchi arobaini kushiriki ili kupata ushindi dhidi ya kampeni hoyo ya kukikabili kikundi hicho hatari.
Wanamgambo hao wakiwa wametoa video nyingine ikionyesha kuchinjwa kwa mateka mwingine wa kiingereza David Haines huku wakimtaka Cameron aache kuwafatilia,Umoja wa mataifa umelaani kitendo hicho na kukiita ni cha kuchukiza na ni ukatili mkubwa.
Tayari mashambulizi ya anga yamesha amuriwa na nchi hizo zikiwemo zile za kiarabu dhidi ya wanamgambo hao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni