Ijumaa, 5 Septemba 2014

P SQUARE WAACHIA NGOMA NA RAPPER T.I.

Wakali wa music Africa na ndugu wakiwa wamezaliwa mapacha wameendelea kufunika tasinia hiyo kwa kutoa ngoma kali kila uchwao.Wakali hao baada ya kutoa TESTMONEY sasa wametoa nyingine ijulikanayo kama EJEAJO ni mkali zaidi hata ya zote walizotoa ,jaribu kuutafuta na uusikilize.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni