Hili ndo jumba la kifahari ambalo ameandaliwa spika wa bunge la Tanzania kama makazi yake ambalo limegharim sh.bilioni 1.5 za kitanzania.
Nyumba hiyo imejengwa na Pacha Building Construction Co.linapatikana maeneo ya Uzunguni nje kidogo ya mji wa DODOMA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni