Kama unakumbumba sakata la Kajala hadi ilipofikia Wema kumtolea dhamana iliyo mfanya awe huru hadi leo lakini mumewe ilishindikana.
Mume huyo amedai kwa sasa anasikia mkewe yuko njema hivyo ana omba afanye iwezekanavyo nae awe huru kutoka kifungoni.
Kajala na mumewe huyo walishtakiwa kwa kosa la kutapeli mali ikiwemo nyumba kwa kufoji vidhibitisho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni