Ijumaa, 5 Septemba 2014

CHINA KUINUA UCHUMI WA ZIMBABWE.

Rais wa China na Zimbabwe wamekutana na kuongelea kufanya kazi kwa pamoja lengo ni kuboresha uhusiano na pia kufuua uchumi wa Zimbabwe ambayo ilikuwa na mapingamizi ya uchumi kutoka nchi za Magharibi.
                             Rais wa Zimbabwe Robert Mughabe na Ma-Ying-Jeou Rais wa China.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni