Jumanne, 2 Septemba 2014

KAJALA AMKIMBIZA WEMA...ALIPA KODI YA NYUMBA $2,000 KWA MWEZI SINZA.

Msanii wa filam bongo Kajala Masanja a.k.a KAY sasa anautajiri mkubwa kumpita shostito wake aliye mtolea dhamana ya mil 13 za kitanzania asiende jela.
Kutoka kwa wapambe wa KAY wamedai kwa sasa msanii huyo yuko vizuri kifedha.
Kajala kwa sasa anakaa Sinza madukani akiwa amepanga ghorofa nzima ambayo analipa takribani sh mil 3.2 za kitanzania na kumiliki magari manne na kampuni ya kutayarisha filam ijulikanayo kama KAY ENTERTIMENT.
Kwa mujibu wa Kajala anasema pesa hizo ni matunda ya juhudi zake mwenyewe na hakuongwa na mtu kama ilivyo kuwa ikitangazika mitaani."nafanya biashara zangu pia nacheza filam ninacho pata nafanyia mambo yangu ya manufaa"inasemekana kwa sasa KAY anaweza hata kumwajiri Wema aliyebakia na gari aina ya Toyota Harrier tu,hana cha zaidi.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni