Mwenyekiti wa CHADEMA Bw,Freeman Mbowe katikati,Prof.Abdala Safari kulia Makamo Mwenyekiti Bara na kushoto ni Makamo Mwenyekiti Zanzibar Bw.Side Mohamed.
Chama hicho kilicho fanya uchaguzi mkuu katika ukumbi wa Mliman city jijini Daresalaam chini ya Mwenyekiti wa uchaguzi huo Bw.Alex Kisurura ambaye alitakaza washindi hao na kumfanya Mwenyekiti huyo kuendelea kuongoza chama hicho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni