Tuzo hizo zilizo andaliwa na Channel O Africa zina mfanya Diamond awe msanii pekee kuchaguliwa katika tuzo hizo kwa mwaka huu.
Diamond ameshukuru kwa kuchaguliwa na pia anawaomba mashabiki zake pendwa kumpigia kura.
Wasanii wengine walioingia kwenye kinyang'anyiro hicho ni Davido,Tiwa Savage,Sarkodie,Cassper na wengine wengi ikiwemo maDj kama Dj clock .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni