Mkalim wa bongo flava,Nasib a.k.a Diamong anusulika kupewa kichapo nchini Ujerumani alipokuwa ameenda kufnya shoo,hayo yalijiri usiku wa jumamosi ya mwisho ya mwezi wa nane.
Bwana Dang'ote alinusurika kipigo hicho baada ya police wa nchini humo kuingilia kati mtanange huo ambapo walifanikiwa kumchomoa msanii huyo na kumpeleka kwenye gari hatimaye kuondoka.
Kisa cha mkasa huo kinasemekana ni baada ya Diamond kuchelewa kufika ukumbini hapo ndipo mashabiki hao walio kuwa wakimsubiri kwa hamu kupandwa na jaziba hadi kufikia hatua hiyo.
Mwenyewe anena asimilia ilivyokuwa,asikitishwa na uandaaji wa kampuni ya Britt Events walio andaa show huko Shuttgart na kumponda pia promoter kwa kumchelewesha kuingia ukumbini hadi saa kumi .Ameomba msamaha kwa mashabiki wake wote na kusema haitatokea hivyo tena na sisi aliyesababisha kuchelewa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni