Rais wa soka duniani Blatter amempitisha aliye kuwa mkuu wa sokabarani Africa(CAF)kuwa naibu mkuu wa shirikisho la soka duniani Mr.issa Hayatou ambaye ni raia wa Cameroon.
Hatu ya Blatter kufanya uteuzi huoumekuja baada ya Argentine Julio Grondona aliyekuwa akishikilia wadhifa huo kufaliki dunia mwezi july.
Hayatou atakuwa ni mtu wq pili kuwa na maamuzi ya juu katika maswala yahusuyo soka duniani akimfata Blatter.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni