Alhamisi, 4 Septemba 2014

MWANAFUNZI AMEZWA NA CHATU.

Mwanafunzi mmoja wa kike nchini Nigeria amemezwa na chatu alipo kuwa darasani anajisomea.
Tukio hilo limetokea ambapo wanafunzi wengine wakiwa wamekwisha ruhusiwa kwenda majumbani kwao na mwanafunzi huyo kubaki pekeyake darasani akijisomea.
Taarifa zaidi kutoka kwa majirani zilidai chatu huyo atakuwa ametumwa na rafiki wa mama wa mtoto huyo kwani huyo ndiye aliyekuwa mtoto pekee wa mama huyo na ili hali rafikie huyo hakuwa na bahati ya kuwa na mtoto kwa miaka ishirini sasa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni