Jumatatu, 1 Septemba 2014

TRANSFER DEADLINE DAY.....

Ni siku ya mwisho ya dirisha la usajili wa wachezaji..fuatilia yaliyojiri na yanayoendelea kujiri katika wakati huu ambao kwa kawaida huwa na presha kubwa....kubwa siku ya leo ikiwa ni usajili wa mchezaji Radamel Falcao kwenda Manchester united kwa mkopo.. Dany Welbeck afuzu vipimo kwenda Arsenal kwa mkopo
Baadhi ya usajili uliokamilika ni pamoja na Jina Timu atokayo Kwenda Radamel Falcao Monaco Manchester United Benjamin Stambouli Montpeilier Totenham Sebastian Coates Liverpool Sunderland -Kwa mkopo Lewis Holtby Totenham Hamburg Hernandes Chicharito Manchester Utd Real Madrid- kwa mkopo Marco Van Ginkel Chelsea AC Milan- Kwa nkopo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni