Alhamisi, 11 Septemba 2014

KIFARU CHA JESHI CHAFANYA MAHAFA MTWARA..



Ajali hiyo iliyotokea maeneo ya Mnonela barabara ya Mingoyo huko Mtwara na kuuwa watu wawili na wengine kujeruhiwa ,kifaru hicho kiliacha njia na kugonga nyumba iliyokuwa maeneo hayo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni