Jumamosi, 13 Septemba 2014

OSCAR PICTORIUS KUSHTAKIWA...KWA KOSA LA KUUWA BILA YA KUKUSUDIA.

Yule mwanariadha mlemavu wa South Africa Oscar Pictorius ambaye anashikiliwa baada ya kumpiga risasi aliye kuwa mchumba wake akutwa na shtaka la kujibu la kuuwa bila kukusudia.
Jaji Mwanamke anaesikiliza kesi hiyo kwa ukaribu na umakini mkubwa kutoka kwa mawakili wa pande zote mbili jana aliiambia mahakama kuwa Oscar amepatikana na kosa la kuuwa bila ya kukusudia hivyo anatakiwa hukumu ambayo itasomwa mwezi wa kumi tarehe za mwanzoni.
OSCAR AKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUAMBIWA AMEUWA BILA KUKUSUDIA
                                        OSCAR NA MAREHEM MPENZI WAKE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni