Katika match ya ngao ya jamii ambayo Arsenal iliibuka kidedea kwa kumchapa Man city 3-0,leo jumamosi hii ya tarehe 13.09.2014 watakutana tena miamba hiyo saa tisa kasoro kwa saa za kwetu.je ataendelea kuwa mbabe au Man city atataka nae aonyeshe umwamba kwa vijana hao wa Wenger?.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni