Jumatatu, 15 Septemba 2014

MATEKA MWINGINE WA UINGEREZA ACHINJWA..

Kikundi cha kigaidi cha kiislam cha ISIS kimemuuwa mateka mwingine wa Uingereza kwa kumchinja kichwa.
Wakiwa wemetoa video iliyo anza na hotuba ya Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron akizungumzia ushirika wake na Marekani juu ya Iraq na kufatiwa hotuma aliye soma mateka huyo david Haines ikimshtumu Cameron kwa kujiunga na Marekani ,ndipo mateka huyo akakatwa kichwa na magaidi hayo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni