Ijumaa, 12 Septemba 2014

BAADA YA SHINYANGA SASA NI ZAMU YA GEITA SERENGETI FIESTA 2014...

Baada ya kufana hapo jana Serengeti Fiesta 2014 inaendelea kusambaza upendo kwa kuwasha moto Geita..Wakazi wa Geita wakitegemea kupokea burudani kali kutoka kwa wasanii mbali mbali..hapo jana wakazi wa shinyanga walimiminika kwa wingi kusambaza upendo na Serengeti Fiesta 2014. Tazama picha jinsi Serengeti Fiesta 2014 ilivyofana Shinyanga
Wasanii mbali mabali wakilishambulia jukwaa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni