Msanii wa filam za kibongo zijulikanazo kama bongo movie ama Swahillhooh Wastara Juma ,ambaye alikuwa mke halali wa marehem Sajuki Juma anasema licha ya kupata maswahibu kadhaa katika ndoa lakini bado furaha yake kubwa ni mapenzi na hufurahi zaidi wakiwa na mwanaume anaemjali na kumdhamini kama mke.
Wastara afunguka zaidi na kusema starehe yake kubwa ni mapenzi na hufurahi zaidi wakati wote akiwa na mpenzi wake faragha na pia anayaheshim sana mapenzi.
WASTARA NA MENEJA WAKE
WASTARA KATIKA POZI
WASTARA AKIWA NA MAREHEMU MUMEWE SAJUKI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni