Faru ndiye mnyama aliye hatarini kupotea duniani.
Inaaminika kuwa kwa sasa idadi ya Faru imepungua sana inchini kufikiahatua hadi kila mnyama kuwa na namba yake na kufatiliwa.Faru wanazidi kuwa wachache kutokana na ujangili unaoendelea...wataalam wa wanayama hao wanasema Faru huchukua takribani miaka miwili tangu kutungwa mimba hadi kuzaa na ndio manaa wanapungua kwa kazi kulinganisha na ujangili na muda wa kuzaa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni