Yule mkali wa soka toka nchini Uganda Emmanuel Okwi ambaye hivi karibuni amerejea kuchezea club yake ya zamani Simba ,huku akiwa na mkataba wa miaka miwili aliyo saini na club ya yanga .
Okwi alifikia maamuzi hayo ya kujiunga na Msimbazi mara baada ya mgoogoro na timu yake hiyo ya Jangwani na kuwa katika hali ya sintofahamu.
Mwenyekiti wa sasa wa wana wa Jangwani Manji amesema hatokubali Okwi kuchezea simba hata kidogo la sivyo atahitajika kulipa faini ya dolla 500,000/=.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni