Jumamosi, 30 Agosti 2014

LADY JAYDEE KAWA SUGER MUMY,ATOKA NA DOGO DOGO CHEKI HAPA...

Msanii nguli wa kizazi kimpya Judith wambura ,Jay dee ameonekana kuwa na dogodogo mitaani baada ya ndoa yake kuwa na migogoro.
Binti komando ambaye ni mke halali wa mtangazaji Gardiner Habash anasemekana yuko na huyo dogo kitambo sana hata kabla ya Habash.
Dogo huyo alipo ulizwa kuhusu uhusiano wake na mwanamziki huyo alisema kuwa yeye ni rafiki mkubwa na shabiki pia wa mwanadada huyo na hakuna kingine cha zaidi.
kuhusu kupiga picha na gari la Jide amesema ni kawaida tu ,shabiki na rafiki yeyote anaweza fanya hivyo na sisi yeye pekee.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni