Jumatano, 27 Agosti 2014

NDOA YA DIAMOND NA WEMA YANUKIA...

 MSANII MWENYE WAPENZI WENGI ZAIDI NCHINI TANZANIA NASIB A.K.A DIAMOND NA MLIMBWENDE WA TANZANIA 2006,WEMA ISAK,SEPETU WAMESEMA WAKO KARIBUNI KUFUNGA NDOA YAO INAYOSUBIRIWA KWA HAM.

 DIAMOND ANASEMA NDOA IPO NA WEMA NA YEYE NI MBAKA MWISHO 

 
NDOA HIYO INATARAJIWA KUTUMIA KIASI KIKUBWA CHA PESA NI ZAIDI YA MIL 200 ZA KITANZANIA,NA ITASHUHUDIWA NA TAKRIBANI WATANZANIA WOTE.

DIAMOND ANASEMA ATARUSHA NDOA YAKE HIYO KWENYE KARIBU VYOMBO VYOTE VYA HABARI HAPA NCHINI NA TENA IKIWEZEKANA ITAFANYIKA UWANJA WA TAIFA NA KULIKA WATU MAARUFU WENGI NDANI NA NJE YA NCHI.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni