1.TYRON POWER
Alifariki kwa ugonjwa wa moyo mnamo March 15,1958,akiwa ndani ya chumba cha kuandalifilam.Tyron alikuwa maharufu sana mwaka 1936,LLYODS LONDON,alikuwa na series ijulikanayoSolomon and Seba.
Alifariki mwaka 1982,kwa ajali ya Helicopter,kifo chake kiliambatanisha pia watoto wawili walio kuwa waigizaji.Marrow alikutwa na umauti huo alipo kuwa akiigiza filam yake ya Twilight Zone. 3.JON-ERIK HEXUM.
Mwaka 1984,ndio ulikuwa mwisho wake wa kuishi na kuigiza ,alifariki kwa kupigwa risasi kichwani na kusababisha jeraha kubwa kichwani ambapo ikapelekea kutokwa na damu nyingi na kufikishwa hospitali ambapo alifanyiwa upasuaji lakini hakuweza kupona,amefanya filam kama Mac harper,The Green Beret-Turned-Modal.
4.BRANDOL LEE.
Huyu ni mtoto wa gwiji wa filam Bruce LEE,alikutwa na umauti baada ya kufyatuka kwa risasi na kumpiga tumboni ambayo ikapelekea kifo chake March 31,199,3 akiwa anaandaa filam yake ya The Crow.
5.REDD FOXX
Wakiwa katika maandalizi ya THE LOYAL FAMILY na Starring Della Reesa,Foxx akapata mshtuko wa Moyo na kufariki mwaka 1991.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni