Jumatatu, 15 Septemba 2014

WEMA AJIBU MAPIGO,NAE AMWAGA NOTE KAMA MVUA KWA SYLIGHT BAND..

Baada ya siku chache aliyekuwa twin wa Madam, Kay kumwaga mijihela kwenye show ya Yamoto Band sasa mpinzani wake na aliyekuwa pedeshee wake Wema nae amwaga kwa Skylight kwenye usiku wa Birthday ya Mr.JACK's .
Skylight ndiyo iliyokuwa imepamba usiku huo wa JACK DANIEL's  na baada ya kuuanza kuimba wimbo special kwa Wema ,inasemekana mama Ngololo hakuona shida kuachia zip ya wallet yake na kumwaga mapene kwa mwimbaji huyo,kitendo ambacho kimetafsiriwa kama ulipaji kisasi kwa Kajala na pia kuonyesha bado anazo baada ya  tetezi kuwa amefulia.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni