![]() |
OSCAR AKIWA NA MPENZI WAKE AMBAYE ALIMUUWA KWA KUMPIGA RISASI
Familia hiyo ikiongozwa na baba mzazi imesema jaji amempendelea Oscar kwani alitakiwa ahukumiwe kama muuaji kwakuwa mwanae hakufanyiwa haki.
Hali hiyo ya familia hiyo kuchukizwa na jaji huyo imekuja baada ya jaji anayeongoza kesi hiyo kusema kwamba Oscar atahukumiwa kwa kosa la kufanya mauaji ya kutokukusudia.
Oscar Pistorius atakuwa nje kwa dhamana hadi hapo hukumu yake itakapo tangazwa mapema mwezi Octoba mwaka huu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni