Tukio hili limetokea leo asubuhi maeneo ya Mbagala Rangi Tatu ambapo askari mwenye no.WP 2806,aliye julikana kwa jina la CPL Riziki akiwa anatimiza jukumu lake la kuhakikisha barabara inakuwa salama na watumiaji wake ndipo gari aina ya DCM ilipo mgonga na kumwachia majeraha makubwa na kukimbizwa hospitari ya Temeke na baadae kuhamishiwa Muhimbili.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni