Jumatano, 27 Agosti 2014

MUONE MAMA WA KIHINDI ALIYE FANIKIWA KUMUUA CHUI.

Kamla Devi ni mama wa kihindi 54,anaye jihusisha na mambo ya kilimo,alikutana na maswahibu hayo alipo kuwa akitoka shambani kwake.
Mama huyo alifanikiwa kumuua chui huyo na hakuwa na siraha kubwa zaidi ya mundu na jembe lake dogo.
Wasamalia waliye mkuta mama huyo yu taabani kwa majeraha na maumivu makali walikiri kumkuta hui akiwa amekwisha kufa pembeni.
Kwasasa Kamla yuko hospitali Kuu ya India akiendelea na matibabu.

                           Madaktari wakijaribu kumpatia matibabu Kamla.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni