Alhamisi, 28 Agosti 2014

UNAWAFAHAMU HAWA WALIMBENDE WALIO PEMBENI YA MAMA DANG'OTE!?

Aunt na Nice wazichapa na kutukanana Matusi mazito nyumbani kwa Wema hali iliyopelekea Aunt kutoka nduki na ndinga yake hadi kusababisha hajali,kisa kikidaiwa ni ulevi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni