Alhamisi, 28 Agosti 2014

SERIKALI YATANGAZA KUTOA ADA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI.

Hayo yamesemwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mrisho Kikwete hali maharufu JK.
Amesema ameadhimia hayo baada ya kuona watoto wengi wanashindwa kumaliza shule kutokana na kipato kidogo kwenye  kaya zao.
Rais amesema itakuwa bure kwa mtoto yeyote wa kitanzania atakaye fauru kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza hadi cha nne.
                                  Rais wa Tanzania akihutubia wananchi hivi karibuni

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni