Mkali wa ngololo na mdogomdogo Nasib a.k.a Platinum amesema anasikitishwa sana na maneno ya kila siku ya kumkejeli kuwa ana sauti mbaya ,hawezi kuimba,huwa tusi kwenye post zake na mengine mengi.
Mkali huyo wa music wa kizazi kimpya mwenye mafanikio makubwa na mashabiki wengi ndani na nje ya inchi.
Amesema ni bora wasanii wenzake wakae chini na kuachana na majungu badala yake wafanye kazi zitakazo liletea Taifa letu manufaa na kuzidi kujulikana duniani kote.
DIAMOND AMEYASEMA HAYO KUPITIA ACCOUNT YAKE YA FACEBOOK.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni