Ijumaa, 29 Agosti 2014

XABI ALONSO ATUA BAYERN MUNICH....

Mchezaji huyo aliyewahi kuichezea klabu ya soka ya liverpool ameingia mkataba wa miaka miwili na miamba hiyo ya Ujerumani akitokea Real Madrid.Alonso ameitumikia Real Madrid kwa miaka mitano tangu alipojiunga na klabu hiyo mwaka 2009 akitokea Liverpool Fc.haijajulikana kiungo huyo ameondoka Real Madrid kwa sababu zipi licha ya awali kusaini mkataba wa miaka miwili na miamba hao wa Bernabeu hapo january..Kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola amemsifia kiungo huyo akisema ni mchezaji mwenye kutumia akili nyingi awapo uwanjani na ataongeza uzoefu katika kikosi chake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni