Jumamosi, 30 Agosti 2014

MISS MWANZA N0.2 AFARIKI DUNIA AJALINI.

Mlimbwende aliyekuwa Miss mwanza namba mbili,pia aliyekuwa akitangaza rasta za darling afariki dunia kwa ajali ya gari.
Kwa mujibu wa watu wa karibu na mrembo huyo aliyefahamika kama Mbebez alikuwa kwenye matayarisho ya ndoa yake na mchumba wake wa siku nyingi,ila juzi alimuaga mchumba wake huyo aliyekuwa akiandaa harusi hiyo kwa mbwembwe kuwa anakwenda kwa dada yake na hivyo angerudi siku inayo fuata kwakuwa atalala kwa dada yake huyo.
Mungu si Athuman Mbebez alikutwa na umauti akiwa na mchepuko ambaye pia nae ni marehem.
                                       Marehem Mbebezi enzi ya uhai wake.
                                    picha za gari alilopata nalo ajali Mbebez
Mchumba wa mrembo huyo ahaha asijue la kufanya na wala kuamini kilicho tokea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni