Ijumaa, 29 Agosti 2014

AJALI MBAYA YATOKEA MBEYA ,YAUA WATU KUMI NA KUJERUHI SABA..

Watu kumi wafariki dunia na wengine saba wako katika majeruhi makali kwenye ajali iliyo husisha mgali mawili Hiace na Fuso yaliyo gongana Mbalizi huko mkoani Mbeya.

Ajali hiyo imetokea baada ya dereva wa Toyota Hiace lenye namba za usajili T 237 BFB akiwa akishuka mlima mkali wa Mbalizi kukutana na Fuso lenye namba T 158 CSV lililokuwa likikata kona bila ya kuchukua tahadhari.

Katika ajali hiyo iliyo ua watu kumi ikiwemo watoto wawili,wanaume wanne na wanawake wanne.

ANGALIA PICHA MBALI MBALI ZA AJALI HIYO.
 HILI NDILO DALADALA AINA YA TOYOTA HIACE LILILOKUWA LIMEBEBA ABILIA





                         HILI NDILO FUSO LILILO HUSIKA KWENYE AJALI HIYO.



      WAUGUZI WAKIJARIBU KUWASAIDIA MAJERUHI NA PIA KUWAFANYIA     TRANSFER HADI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOANI MBEYA.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni